UWATWastaafu TANAPAFungua programu

Umoja wa Wastaafu TANAPA

Umoja wa Wastaafu TANAPA

Umoja wa Wastaafu TANAPA (UWAT) una chimbuko la kipekee lililojengwa juu ya maono ya kuendeleza undugu kwa waliokuwa watumishi. Wazo la kuanzishwa kwa umoja huu liliibuliwa mwaka 2020 na Dr. Allan Kijazi, aliyekuwa Kamishna wa Uhifadhi (CC) wa kwanza wa TANAPA.
Kutokana na msukumo huo, kundi la wastaafu wazalendo 17 kutoka kada mbalimbali waliweka misingi ya awal ya UWAT

KUHUSU SISI

UWAT inawaunganisha waliiowahi kua watumishi wa TANAPA, wakiwa na MALENGO NA MIKAKATI YA PAMOJA, ili kujijeengea uchumi wao, kupashana habari na kusaidiana Kijamii.
Yeyote aliestaafu akiwa mtumishi wa TANAPA anakaribishwa kujiunga

  • Matangazo

    Matangazo yote atayaona Kila mwanachama kwenye App ukijiunga

  • Fungua Akaunti

    Kila mwachama ataweza kuona kiasi alichochanga na anachodaiwa katika michango. Pia kuona matangazo muhimu ya Umoja

  • Malengo ya UWAT

    1). Kuimarisha Umoja
    Kuunganisha wastaafu na watumishi wa kada mbalimbali wa TANAPA

    02). Kutetea Maslahi
    Kuhakikisha stahiki, mafao, na huduma za afya kwa wastaafu zinapatikana kwa ubora.

    03. Kukuza Uchumi
    Kuanzisha miradi ya uwekezaji na elimu ya kifedha kwa wanachama

Ada ya kujiunga

20,000 TZS

Hulipwa mara moja unapojiunga

Mchango wa mwezi

10,000 TZS

TZS 120,000 kwa mwaka mzima

Jinsi ya kujiunga

  1. 1

    Tengeneza Akaunti

    Fungua UWAT app na jaza taarifa zako

  2. 2

    Kamilisha usajili

    Weka maekezo, Mrithi wako, namba yako ya NIDA

  3. 3

    Lipa na tuma Slip ya bank

    Lipa Kiingilio na Ada Yako kwa
    Account ya NMB 40810150689 UMOJA WA WASTAAFU TANAPA, Risiti itunze kwa hatua muhimu za kujiandiikisha.

Fungua programu ya UWAT

Uongozi

BODI YA UWAT

  • Dr. Allan H. Kijazi

    Mwenyekiti wa Bodi

  • Dr. Ezekiel Dembe

    Katibu wa Bodi

  • Dr. Adamson Kariwa

    Mjumbe wa Bodi

  • Mrs Jane Mwanri

    Mjumbe wa Bodi

KAMATI YA UONGOZI

  • Dr. Ezekiel Dembe

    Mwenyekiti UWAT

  • Inyasi Lejora

    Makamu Mwenyekiti UWAT

  • Edward Kishe

    Mkt Ustawi na Huduma za Wanachama

  • Lota Melamari

    Mwenyekiti Katiba Maadili na Nidhamu

  • Domician Njau

    Mwenyekiti Ununuzi na Majadiliano

  • Gerald Bigurube

    Mwenyekiti Uhifadhi na Uhusiano

  • John J. Shemkunde

    Mkt Kamati Fedha Mipango na Uwekezaji

  • Christopher Mtibili

    Mkaguzi wa Ndani

  • Bruno Mgonja

    Mhazini

  • Dr. Morris Kilewo

    Katibu Msaidizi

  • Hekima Munguwamajeshi

    Mjumbe

  • Nassoro Mndeme

    Mjumbe

Maswali

Sifa za kujiunga UWAT ni zipi?

Mstaafu wa TANAPA Kisheria au aliestaafu baada ya kuhamishiwa Serikalini/Mashirika kwa mujibu wa taratibu za ajira

Malipo yanafanyika vipi?

Lipa kwa taratibu zilizo elekezwa kwenye App, kisha tuma nakala ya slip ya benki.Pay. Ofisi itaithibitisha na mwezi/miezi uliyolipia itaonekana kwenye rekodi zako.